Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe
Magufuli akimuapisha Mh. Nape Nnauye kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii
na Michezo Ikulu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dk. Abdallah Saleh Possi kuwa Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Wenye ulemavu) Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mh, Rais Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi Muongozo wa kufanyia kazi kwa Waziri wa Katiba na Sheria Dkt Harrison George Mwakyembe mara baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Sospeter Mwijarubi Muhongo kuwa Waziri wa Nishati na Madini Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Sospeter Mwijarubi Muhongo kuwa Waziri wa Nishati na Madini Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Mawaziri wake mara baada ya kuwaapisha Jijini Ikulu Dar es salaam.