Mh. John Pombe Magufuli wakibadilishana mawazo na Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi baada ya kulihutubia Bunge la kumi na moja (11) na kulizindua Mjini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. John Pombe Magufuli (Kushoto) Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, (Kulia) Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, baada ya kuhutubia Bunge la 11, Mjini Dodoma.
Mh,Dk. John Magufuli akimkabidhi cheti Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya
NMB Mama Ineke Bussemaker kwa mchango wao.
Mh. John Pombe Magufuli
akimshukuru na kumkabidhi cheti mwakilishi wa Benki kwa mchango wao baada ya kulizindua rasmi Bunge
la 11 Mjini Dodoma.