Rais John Magufuli akitangaza baraza la mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na kushoto ni Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa.
BARAZA LA MAWAZIRI TANZANIA
Wizara ya Ofisi ya Rais,Tamisemi,
Utumishi na Utawala Bora.
- Mawaziri - George Simbachakene na Angella Kairuki
- Naibu Waziri - Sumeilam Jafo. Naibu.
- Waziri - January Makamba
- Naibu Waziri – Luhaga Jerrson Mpina
Ofisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge,
Kazi Vijana, Ajira na Walemavu
- Waziri - Jenista Muhagama
- MaNaibu – Dkt. Possy Abdallah na Anthony Mavunde.
Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
- Waziri - Mwigulu Nchemba
- Naibu Waziri - William Ole Nasha
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano.
- Waziri Bado hajapatikana.
- Naibu Waziri – Inj. Edwin Ambandusi Ngonyani
Wizara ya Fedha na Mipango
- Waziri Bado hajapatikana.
- Naibu Waziri - Ashantu Kizachi
Wizara ya Nishati na Madini
- Waziri - Prof. Mwigalumi Muhongo.
- Naibu Waziri - Medalled Karemaligo.
Wizara ya Katiba na Sheria
- Waziri - Harrison Mwakyembe
Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano
wa Afika Mashariki, Kikanda na Kimataifa.
- Waziri - Dk. Augustino Mahiga
- Naibu Waziri – Dkt. Susan Kolimba.
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga
Taifa
- Waziri - Dk. Hussein Mwinyi
Wizara ya Mambo ya Ndani
- Waziri - Charles Kitwanga.
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo
ya Makazi.
- Waziri - William Lukuvi
- Naibu Waziri - Angelina Mabula
Wizara ya Maliasili na Utalii
- Waziri Bado hajapatikana.
- Naibu Waziri– Inj. Ramol Makani
Wizara ya Viwanda, Biashara na
Uwekezaji.
- Waziri Charles Mwijage.
Wizara ya Elimu,Sayansi Teknolojia
na Ufundi.
- Waziri Bado hajapatikana.
- Naibu Waziri – Inj. Stella Manyanya
Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,
Jinsia, Wazee na Watoto
- Waziri - Ummy Mwalim
- Naibu Waziri – Dkt. Hamis Kigwangala
Wizara ya Habari, Utamaduni, Wasanii
na Michezo
- Waziri - Nape Nnauye
- Naibu Waziri - Anastasia Wambura.
Wizara ya Maji na Umwagiliaji
- Waziri – Prof. Makame Mbarawa
- Naibu Waziri– Inj. Isack Kamwela
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi_2lh8Lhgz-Jy3q65fzndFxXXxXtVnAwR5Mn3TugjUgtppIuWbbu6kmVRyReL7qzrFd_FQmv3Z_2ED6nNiU-PD7ptPCDMWyCy5HQG8qXPEPLO9B36LH9fDixR-0MyHplg_qK60hu23B_I/s640/Imag+%25288%2529.jpg)