Mh. Jakaya Kikwete na Rais mteule wa Jamhuli ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli wakiwa katika picha ya pamoja
Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. John Pombe Joseph Magufuli katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mstaafu Damian Lubuva na viongozi mbali mbali wa vyama vya kisisa.
Rais Mteule wa Tanzania, Mh. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi mbali mbali wa dini zote.
Posted by Emman W